https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Melbourne&oldid=988014
https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Melbourne&oldid=988014
SW.WIKIPEDIA.ORG
Melbourne
Melbourne ni mji mkubwa katika Australia ya kusini na mji mkuu wa jimbo la Victoria. Ina wakazi 3,720,300. Historia Mji uliundwa mwaka 1835 kando ya hori ya Port Phillip Bay ya Pasifiki. Ilikua haraka baada ya kupatikana dhahabu tangu mwaka 1851. Imekuwa kitovu cha uchumi, utamaduni na michezo. Katika karne ya 19 ilikuwa mji mkubwa wa Australia na pia mji mkuu wa taifa hadi uhamisho wa bunge kwenda Canberra mwaka 1901. Siku hizi kuna wakazi kutoka nchi nyingi waliohamia Australia na kukaa mjini. Robo ya wakazi wake walizaliwa nje: kuna watu kutoka nchi 233 na lugha 180 zinajadiliwa mjini hata kama theluthi mbili za wakazi hutumia Kiingereza kwao nyumbani. Picha Viungo vya nje
0 Tags 0 condivisioni 1 Views

Password Copied!

Please Wait....