https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mkomamanga&oldid=1087746
https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mkomamanga&oldid=1087746
SW.WIKIPEDIA.ORG
Mkomamanga
Mkomamanga au mkudhumani (Punica granatum) ni mti mdogo wa familia Lythraceae katika oda Myrtales. Matunda yake huitwa makomamanga au makudhumani. Asili yake ni eneo la Uajemi ya kisasa, lakini siku hizi hukuzwa katika Mashariki ya Kati, Kaukasi, Ulaya ya Kusini, Afrika ya Kaskazini ni chini ya Sahara, Asia ya Kati, ya Kusini na ya Kusini-Mashariki, Arizona na Kalifornia. Picha
4 الوسوم 0 المشاركات 1 مشاهدة

Password Copied!

Please Wait....