https://sw.wikipedia.org/wiki/I_Have_a_Dream
https://sw.wikipedia.org/wiki/I_Have_a_Dream
SW.WIKIPEDIA.ORG
I Have a Dream
"I Have a Dream" ni wimbo kutoka kwa kundi kutoka nchini Swedish linaoimba muziki wa aina ya pop linaloitwa ABBA. Wimbo huu ulitungwa ba Benny Andersson & Bjorn Ulvaeus na uliimbwa na kundi hilo katika albamu yao ya mwaka 1979 iliyoitwa Voulez-Vous. [Huku [Anni-Frid Lyngstad]] akiimba viitikio vya wimbo huo. Wimbo huo ulitoka kama single mwezi desember mwaka 1979, ikijumuishwa na toleo la moja kwa moja kutoka kwa "Take a Chance on Me" as the B-side). Wimbo wa "I Have A Dream" ulikuwa ni single ya mwisho kutoka kwa kundi la BBA katika mwaka"1970. Muongo ambao kundi hili lilipata mafanikio kuliko kundi lingine duniani. Wimbo wa "I Have a Dream" sio tu wimbo pekee wa kundi hili unaojumuisha sauti za wanamuziki wote ndani ya kundi hilo, lakini pia hujumuisha pia sauti za kwaya ya watoto. Wimbo wa "I Have a Dream pia umejumuishwa katika albamu ya kundi la BBA inayoitwa ABBA Gold: Greatest Hits lakini pia katika muziki wa Mama Mia. Kutolewa kwa Single Kumekuwa na hisia kuwa wimbo wa "I Have a Dream" asili yake haukutengenezwa kama single, tayari kulikwa na nyimbo tatu kutoka katika albamu ya...
73 Comments & Tags 0 Μοιράστηκε 1 Views

Password Copied!

Please Wait....