https://sw.wikipedia.org/wiki/Sayansi
https://sw.wikipedia.org/wiki/Sayansi
SW.WIKIPEDIA.ORG
Sayansi
Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainishwa hazijathibitishwa. Mara nyingi Galileo Galilei anahesabiwa kuwa baba wa sayansi ya kisasa. Aina za sayansi Kuna sayansi mbalimbali ambazo huainishwa katika makundi yafuatayo: Sayansi Asili k.m. Biolojia Jiografia Zoolojia Sayansi Umbile k.m. Fizikia Hisabati Kemia Sayansi Jamii k.m. Historia Elimu Saikolojia Siasa Sayansi Tumizi k.m. Teknolojia Uhandisi Pia, kuna sayansi zinazohusu mada maalumu mbalimbali: Maarifa Astronomia Tiba Mbinu za kisayansi Msingi wa sayansi ni vitendo. Vitendo vya kisayansi vina njia zake zinazotumika kuthibitisha kweli fulani. Namna ya kueleza jambo kisayansi huchimbuka toka nadharia ama udhanifu. Halafu, ili kweli ikubalike, hutoka kwenye udhanifu na kwa kupitia majaribio rasmi, hutengeneza dhana kamili ama...
44 Tags 0 Distribuiri 1 Views

Password Copied!

Please Wait....