https://sw.wikipedia.org/wiki/Sayansi
SW.WIKIPEDIA.ORG
Sayansi Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainishwa hazijathibitishwa.
Mara nyingi Galileo Galilei anahesabiwa kuwa baba wa sayansi ya kisasa.
Aina za sayansi
Kuna sayansi mbalimbali ambazo huainishwa katika makundi yafuatayo:
Sayansi Asili k.m.
Biolojia
Jiografia
Zoolojia
Sayansi Umbile k.m.
Fizikia
Hisabati
Kemia
Sayansi Jamii k.m.
Historia
Elimu
Saikolojia
Siasa
Sayansi Tumizi k.m.
Teknolojia
Uhandisi
Pia, kuna sayansi zinazohusu mada maalumu mbalimbali:
Maarifa
Astronomia
Tiba
Mbinu za kisayansi
Msingi wa sayansi ni vitendo. Vitendo vya kisayansi vina njia zake zinazotumika kuthibitisha kweli fulani.
Namna ya kueleza jambo kisayansi huchimbuka toka nadharia ama udhanifu. Halafu, ili kweli ikubalike, hutoka kwenye udhanifu na kwa kupitia majaribio rasmi, hutengeneza dhana kamili ama...
0 hisse senetleri
1 Views